Kenyans react to Ezekiel Mutua hinting he might vie for a political seat
Check out the comments below after Ezekiel’s ‘announcement’
dalmas_soti: ata sura yake haiezi toshea kwa ballot paper
teens_maja: Weeh mzee kula pesa ya wasanii na upoleπ
papah_yas: Haogopi kuanguka nayoππ.
hitch.hitch_: Wazeee watulie tuwalishe sasaπππ
_nancie_stevens: Enda home mzae
wakili_wa_igiri: After amekuwa Gengetone Music ππ.vijana wakabaki jobless aki Ethics, Boondocks gang, akina Odi wa Muranga’a akina Spice ….walai hatuwezi sahau kwa iyo ballot box nkt!!π’π’π’π’
mucugianganga: Ameona kwa kula ni siasa. Why do we want retirees who haven’t performed?
evelyne__wambizy: Huyu asubuhi na mapema anaanguka nayo
vincentokal: Pesa haiwatoshi bado unataka kuwa mwanasiasa kila kitu utaacha nyuma mzee enda ukapumzike.
nixxnails_ke: Anunulie io forehead screen protector kwanza ππ
Β