Fans react to Zuchu begging Diamond for marriage

Check out fans’ reactions;

Iamvestina: aani kumbe siku hizi wanawake tunauliza unanioa lini???? 😢😢😢😢😢

Mymelaninbeauty: Queen of standard 👏👏👏she’s very smart and didn’t rush to have a baby with a man without marriage first . Nothing wrong having standards 👏👏

Mariamchales609: Ila @officialzuchu nmekupenda bure hatutaki kutumiwa 😂 akili kubwa mwendo ni mmoja tu mjukuu wa kopa no kuzaa mpaka akuoe si unaona wengine alizaa nao mmmmmh 👏

Loveiconlee:  @zuchu mdogo wangu suala lakuowa mwanaume haombwi! Huwa anaamua tuu! Unaomba ndoa Kila siku yakazi gani wakati akikutaka uko apo tuu anakugeuza!! Ata kama mm siowi! Mwanaume anataka mtoto wewe unataka ndoa wap na wap! Yaan anamiss nn kwako Ili atake ndoa haraka? Wakati umemganda kama Papasi Kwa ngozi ya mbwa? Pambana kazi mdogo wangu ndoa utaendelea kusikia tuu na kumaliza waganga

Agbodorthy: Zuchu is wise .That’s good Zuuh.Don’t allow him to make you a baby mama.The truth is bitter bout must be spoken