Fanta! Akuku Danger’s ugali recipe leaves tongue’s wagging
Some of the reactions included:
sandra_dacha Awuoro sana
renesdomy Am not a Luo but this used to be my favorite while growing up courtesy of my grandma.🔥
stacey_254_ Utahara kitenge wewe😂
br.andy1818 Na mbona mzee hajawahi nipikia hii jameni😂😂😂😂
pasha_favoured GHAAAAAAAAAAI. 😍😍😍😍 You have sent me to my very loving grandma with this…. ei….❤️❤️❤️
anastasia_wa_nduta Hii ata nikue nakufa na njaa sitakula 😂😂😂😂 ata mnichape 🙌🙌🙌 aaiiiii
bwiremaxy Mbona inakaa kinyesi, yuck 🤮
adhiambovallery808 Kuon ananga. The best ugali
g.r.a.c.i.e_254 😢😂😂
kevinmbani Mbona unaongeza fanta? @itsakukudanger
djmasumbuko Buda hizi ni gani😂
dekut_trending Zinakaa shondee alfu ata kuna nzi hapo😂😂uweh
atienoeverleen Am a Luo but sijui hii ugali I swear 😂😂
kizangila_abed Kwani unakula muharo?😂😂
c9_keepfit🔥🔥
jay.tucci Na obambla ina-slap ka sh🤬
marion_nasimiyu_ Ugali Na nonstick hiyo Sio ugali…
winfred.charles Yeah, my grandma used to prepare it (may she RIP)
toyland_254 Would love to know how it tastes